Jamani tuache malumbano ya akina Jide kuna mabomu yametokea.fungueni jukwaa siasa!

Jamani tuache malumbano ya akina Jide kuna mabomu yametokea.fungueni jukwaa siasa!

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
jamani tuiombee nchi yetu isipatwe na majanga kama haya!tudumishe amani yetu.hayo mabomu sis ni mambo tuliyokuwa tunayasikia na kuyaona kwenye sinema sasa ivi tunayashuhudia.WaNACELEBRITY wenzangu sasa tuamie kwa muda jukwaa la siasa ili kujadili kwa mapana kuna wengine kila akifungua jamii forumu ni hapa tu amesahau mengine yanayotokea yeye ni JIDE JIDE FA FA!hapana tupeane likizo mimi nimeanza leo.Napumzika nahamia jukwaa la Siasa ili kutoa maoni na kule.I will be missing you!!
 
Mabomu yamerushwa na Clouds kuua WaCHADEMA. Acha wafe tu.
 
mabomu yamerushwa na clouds kuua wachadema. Acha wafe tu.
ivi inawezekana mada ikabadilika na kuwa ivyo?bwa chuchu acha izo.tupatane sasa na wenzetu toka team anakonda na sisi wa team binamu peace and love! Mambo yale yashaisha si unajua ili burdani inoge ni lazim mambo kama yale yawepo ni sawa na watani wa jadi!natumai nao wataelewa mana nawajua ni wastaarabu ni basi tu upenzi uliwachukua kama sisi ulivyokuwa umetuchukua!
 
sie wenzio huwa tunaingia kote kote. kukaa kule sana huchelewi kufa na presha.
 
ndo maana kuna celebrities forum na jukwaa la siasa....
sasa wewe Heloo naona ulikuwaga unalala na kuamkia
huku tu!!!!!!!!!

atleast Team anaconda wamekufungua macho kwamba
kuna upande wa pili wa dunia
 
Last edited by a moderator:
ndo maana kuna celebrities forum na jukwaa la siasa....
Sasa wewe heloo naona ulikuwaga unalala na kuamkia
huku tu!!!!!!!!!

Atleast team anaconda wamekufungua macho kwamba
kuna upande wa pili wa dunia
marichui umenichekesha sana .kwanza kabla sijakujibu ivi unavyojiita ilo jina marichuy je u bomba kama mwenyewe,mana nina kaka atafuta mchumba....anyway...wewe ndo ulikuwa hujui mabomu kama yametokea kule na kama ujuavyo sio kila mtu ana interest na siasa za bongo kwa kuogopa kuzeesha uso so angalau nimewajuza baadhi ya watu! Hujambo lakini?
 
sie wenzio huwa tunaingia kote kote. kukaa kule sana huchelewi kufa na presha.
Duuuu!nimecheka sana!ivi kweli eeeh,muulize Bwa Nchuchu yeye na jukwaa la SIASA ni Damudamu ,wewe jukwaa lako ni lipi ambalo ukiamka ni lazima ufungue hata ukiwa job?mi napenda sana hii celebrity huchokii raha tu!
 
marichui umenichekesha sana .kwanza kabla sijakujibu ivi unavyojiita ilo jina marichuy je u bomba kama mwenyewe,mana nina kaka atafuta mchumba....anyway...wewe ndo ulikuwa hujui mabomu kama yametokea kule na kama ujuavyo sio kila mtu ana interest na siasa za bongo kwa kuogopa kuzeesha uso so angalau nimewajuza baadhi ya watu! Hujambo lakini?

mwambie kaka ako anitafute!!!!!!
 
hilo jukwaa ni hatari kwa afya yangu..sitakiwi kukaa uko kabisa
 
ni kweli kabisaa mkuu naunga mkono hoja.
 
Duuuu!nimecheka sana!ivi kweli eeeh,muulize Bwa Nchuchu yeye na jukwaa la SIASA ni Damudamu ,wewe jukwaa lako ni lipi ambalo ukiamka ni lazima ufungue hata ukiwa job?mi napenda sana hii celebrity huchokii raha tu!

mie kule mapenzini ndo sanasana. c unajua mapenzi yana run dunia. nikitoka huko ndo siasani na huku celebrity.
 
mie kule mapenzini ndo sanasana. c unajua mapenzi yana run dunia. nikitoka huko ndo siasani na huku celebrity.

uwage unaenda na jukwaa la siasa nchi itakuja kulipuliwa we uko bize kule mapenzini
 
Back
Top Bottom