Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
jamani tuiombee nchi yetu isipatwe na majanga kama haya!tudumishe amani yetu.hayo mabomu sis ni mambo tuliyokuwa tunayasikia na kuyaona kwenye sinema sasa ivi tunayashuhudia.WaNACELEBRITY wenzangu sasa tuamie kwa muda jukwaa la siasa ili kujadili kwa mapana kuna wengine kila akifungua jamii forumu ni hapa tu amesahau mengine yanayotokea yeye ni JIDE JIDE FA FA!hapana tupeane likizo mimi nimeanza leo.Napumzika nahamia jukwaa la Siasa ili kutoa maoni na kule.I will be missing you!!