Jamani tuache masihara. Hizi pisi kali ni hatari kuliko Corona

Alikiuka terms and conditions za matumizi. Ni sahihi kumnyang'anya simu. Hako kadada kashenzi sana. Mwamba alikuwa anakalinda mjini kangebaki na mtu mmoja. Unawezaje ku-sex na mtu zaidi ya mtu mmoja na bila protective gears.
Anakalindaje ukishakuwa na mke unamlindaje ambaye hujamuoa wewe uko na mkeo yeye akae na nani, angekuwa ana mpa ya kutosha hela na kumridhisha asingehangaika, hafu kumpa mtu kitu na kumnyang'anya ni lack of maturity
 
weka Picha zao
 
Umenitoa kwenye reli ulivyosema ulikua unakula kavu dah,seriously zama hizi mzee hata awe km malaika ndomu ni muhimu sana,ukipona kwenye msala huu hope u got a message
 
Lakini leo kwa mara ya kwanza namtetea mwanamke muhuni, mkuu usimjudge sana, hali ya uchumi huenda ilimlazimisha kweli. Wanapitia mengi hawa, sometimes hata pad wanakosa
 
Pole sana bosi hizi pisi za chuo ndio jinsi zilivo yani kisa Uchumi wa kati unalipa haha anyway anza kutumia matunda matunda
 
Unamaanisha hamkupima na hukujipa nafasi ya kumjua kabla ya kushiriki naye? Pole sana aseh
 
Sasa mkuu unafamilia shetani gani kakupeleka au unatafuta huruma zetu huku...!?
 
Hilo nalo neno
 
na wewe hukua na mke? nimemwonea huyo dada huruma, hujui ametoka kwenye familia gani, si support ngono kujinufaisha kimaisha, lakn mwanamke akifikia mwisho wa kuwaza anaweza akafanya chochote, ni tofauti sana na sisi wanume! bila shaka nae amesalitiwa vya kutosha, nae anajilizaliza tuu hivyo hivyo, msikilize na msamehe! mpe nafasi ya pili kumchunguza, akibadilika mwoe! maisha haya ya nyuma yalikua magumu sana kwa wahitimu wa vyuo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…