Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Ati asisahau kula mbogambaga na matunda daaaa aiseeOky usisahau kula mboga mboga na matunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati asisahau kula mbogambaga na matunda daaaa aiseeOky usisahau kula mboga mboga na matunda
Nipo cariha, nachekaga tu comments zako[emoji3][emoji3][emoji3] my mito ur badly missed aisee.
Hivi unaokotaje mwanamke alafu unajipigia kavu na hamjapima kweli ulizingua sanaLeo juma3 ila mood yangu haiko sawa.
Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki kakajaa. Baada ya kufahamiana sana ndo nikajua kalisoma IFM na ni yupo tu amepanga anafukuzia kazi mjini hapa. Inshort alikuwa kama kakata tamaa na anaishi kwa kuunga unga. By that time alikuwa hana smartphone alikuwa na kasimu ka Nokia tu
Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa.
Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki kakajaa. Baada ya kufahamiana sana ndo nikajua kalisoma IFM na ni yupo tu amepanga anafukuzia kazi mjini hapa. Inshort alikuwa kama kakata tamaa na anaishi kwa kuunga unga. By that time alikuwa hana smartphone alikuwa na kasimu ka Nokia tu kadogo.
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kama mwehuWewe kakachukue kenyewe kakapine kwanza
Ndio hivyo mkuu. Akakapime kenyewe kwanza[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kama mwehu
Pole tupe mbinu za kuhack simu mkuu!!Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa.
Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki kakajaa. Baada ya kufahamiana sana ndo nikajua kalisoma IFM na ni yupo tu amepanga anafukuzia kazi mjini hapa. Inshort alikuwa kama kakata tamaa na anaishi kwa kuunga unga. By that time alikuwa hana smartphone alikuwa na kasimu ka Nokia tu
Jinga sanaOky usisahau kula mboga mboga na matunda
Kwao ni kijijini.. Huko aliko huyo mpenzi wake wa chuo.. Baada ya kumaliza IFM hakutaka tena kurudi kijijiniNawaonea huruma sana wanawake. Kinachowatoa nyumbani kwa wazazi wao ama ndugu zao kabla ya kuolewa na kwenda kujitegemea ndicho kinacho wagarimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mkeLeo juma3 ila mood yangu haiko sawa.
Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki kakajaa. Baada ya kufahamiana sana ndo nikajua kalisoma IFM na ni yupo tu amepanga anafukuzia kazi mjini hapa. Inshort alikuwa kama kakata tamaa na anaishi kwa kuunga unga. By that time alikuwa hana smartphone alikuwa na kasimu ka Nokia tu kadogo.
Zidanne acha kutisha watu..ndo maana Madrid wamekutimua.Tayari umenasa mkuu jiandae na kumeza njugu
Mtaji gani?..papuchi?Siwezi kufa njaa na Nina mtaji nitulie tu Tena huyo dada mstaarabu sana loh
Wengi hapa wanasema unapigaje demu hujapima sijui nini na nini lakini mbona wengi tu nakutana nao wanasema hawapendi condom wanakula kavu sasa huwa wanapima saa ngapi, na kupima tu siyo ishuu
Mfano demu yuko siku zake na ni malaya ana tombw kila saa na saa ingine hajui siku zake vizuri unatiwa afu damu zile kitu virus anapata akienda hosp inasoma negative ilaa huyo demu mpime miezi 5 mbele, mistari miwili atalia weeee
Ila shogaa atapoa zake atakuwa anatumia dozi na amna anayejua.
Zidane anakujaje hapa?Zidanne acha kutisha watu..ndo maana Madrid wamekutimua.
Huyo kwenye avatar yako humjui?..umeiweka tu hiyo picha bila kumjua?Zidane anakujaje hapa?
Alikiuka terms and conditions za matumizi. Ni sahihi kumnyang'anya simu. Hako kadada kashenzi sana. Mwamba alikuwa anakalinda mjini kangebaki na mtu mmoja. Unawezaje ku-sex na mtu zaidi ya mtu mmoja na bila protective gears.Umeandika la msingi wanaume mpaka mpewe ngono ndo hutoa msaada, bila hivo simlaumu huyo Binti maisha ni changamoto Sana, hafu na huyu mwanaume mjinga ana mke ana mchunga mchepuko ili iweje, pia kumnyang'anya simu ni utoto si alimtumia