Jamani tuache masihara. Hizi pisi kali ni hatari kuliko Corona

Jamani tuache masihara. Hizi pisi kali ni hatari kuliko Corona

Wanaume huwa Wana ka ubinafsi flani katumia shida za Binti kumtumia kingono na Bado ana mchunga na akae akijua mwanamke akijua una mke hakutilii maanani zaidi ya kukudanga tu na kuwapanga wengi,so huwa na wonder mwanaume anayelinda mchepuko na Tena kuunyamg'anya vitu loh. Vepe ingekuwa Binti yake ana shida then mtu aanze kumtumia kingono ili apate analo hitaji?
Acha kuzunguka mbuyu ...kama huyo demu angekua na msimamo haya yasingemkuta. Hapo wamekutana wahuni wawili. .so hakuna wa kulaumiwa ... Unazungumziaje wale bodaboda aliowapanga kisa hela ya chakula ...nao n ubinafsi anajiangalia yeye tuu
 
Fanya mazoezi, kunywa maji ya kutosha, kula matunda ya kila aina, kula sana mboga za majani kwa wingi, usisahau ibada kwa sana, kunywa sana maziwa pia kula vzr.
 
Ila mzee una roho ngumu! Umejua anakulana na watu sita, still ukaenda kukagonga alafu ukaache!

Hata UKIMWI usipime. Kaanze dozi!.

Kulia kwake huko ni majibu tosha!.
🤣🤸👇
images (70).jpeg
 
Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa.

Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki
Ukapiga dry
 
Acha kuzunguka mbuyu ...kama huyo demu angekua na msimamo haya yasingemkuta. Hapo wamekutana wahuni wawili. .so hakuna wa kulaumiwa ... Unazungumziaje wale bodaboda aliowapanga kisa hela ya chakula ...nao n ubinafsi anajiangalia yeye tuu
Siwezi kufa njaa na Nina mtaji nitulie tu Tena huyo dada mstaarabu sana loh
 
Yaan mtoa mada kanipandisha jazba sana,,yaan demu takoless unaanzeje kuhudumia eti kumnunulia vitu vya ndani.kmmk walahi!..by the way hv wanaume wenzangu huwa mnawezaje kudate na hv vitakoless yaan unakuwa nacho longtime nauliza mnawezajee?
Ametutia aibu sana. Takoless unapiga mara moko halafu unakimbia sanaa
 
Ushauri! Kapime, kama uko poa usiendelee na mapenzi ila endelea kumhudumia.
 
Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa.

Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki kakajaa. Baada ya kufahamiana sana ndo nikajua kalisoma IFM na ni yupo tu amepanga anafukuzia kazi mjini hapa. Inshort alikuwa kama kakata tamaa na anaishi kwa kuunga unga. By that time alikuwa hana smartphone alikuwa na kasimu ka Nokia tu kadogo.



Nitaleta mrejesho
Mlisema wa chuo K zinabana.Don run away Kamanda
 
Back
Top Bottom