Jamani tuache masihara. Hizi pisi kali ni hatari kuliko Corona

Tatizo mkisaidia mnataka na ngono aisee. Sometimes saidia tu afu uwe kama umetoa sadaka tu, mabinti wanapitia mengi. Saidia then fanya yako, na hiyi inatokana na kununua sana mbunye sasa unaona huwezi msaidia mtoto wa kike bila kumla.

Hapo ungetoa zako msaada ukasepa, iyo mbunye angeileta mwenyewe ni wewe sasa ukatae au upige na umpotezee mazima.
Umeandika la msingi wanaume mpaka mpewe ngono ndo hutoa msaada, bila hivo simlaumu huyo Binti maisha ni changamoto Sana, hafu na huyu mwanaume mjinga ana mke ana mchunga mchepuko ili iweje, pia kumnyang'anya simu ni utoto si alimtumia
 
Anamchunga kabisa eti hataki awe na mwingine zaidi yake ilhali yeye ana mke au hataki nae binti aolewe. Kifupi jamaa hakua na nia na msaada wake alitaka amtumie binti kingono kadri atakavyo yeye.

Kikubwa hapo angemuweka wazi uyo manzi ni nini na nini anachokitaka toka kwake sio unamnunulia mavitu kibao ukitegemea ajiingeze, nae alimuona jamaa kama wahongaji wengine tu wasiojua pesa zao watumie vipi.
 
Kupima ngoma huku ukijua haina dawa ni ujinga kama uji mwingine tu.
 
Anamchunga kabisa eti hataki awe na mwingine zaidi yake ilhali yeye ana mke au hataki nae binti aolewe. Kifupi jamaa hakua na nia na msaada wake alitaka amtumie binti kingono kadri atakavyo yeye.

Kikubwa hapo angemuweka wazi uyo manzi ni nini na nini anachokitaka toka kwake sio unamnunulia mavitu kibao ukitegemea ajiingeze, nae alimuona jamaa kama wahongaji wengine tu wasiojua pesa zao watumie vipi.
Wanaume huwa Wana ka ubinafsi flani katumia shida za Binti kumtumia kingono na Bado ana mchunga na akae akijua mwanamke akijua una mke hakutilii maanani zaidi ya kukudanga tu na kuwapanga wengi,so huwa na wonder mwanaume anayelinda mchepuko na Tena kuunyamg'anya vitu loh. Vepe ingekuwa Binti yake ana shida then mtu aanze kumtumia kingono ili apate analo hitaji?
 
Umeandika la msingi wanaume mpaka mpewe ngono ndo hutoa msaada, bila hivo simlaumu huyo Binti maisha ni changamoto Sana, hafu na huyu mwanaume mjinga ana mke ana mchunga mchepuko ili iweje, pia kumnyang'anya simu ni utoto si alimtumia
Hakuna vya bure wacha waliwe
 
Kuna demu unaweza mwamini na ukapga bila kutumia kinga.

Sasa kama hako kanakosa mpaka hela ya kula,unaweza hisi hakana wanaume kumbe ni shida
 
Back
Top Bottom