Jamani tuache ujinga wa kuponda vyuo vya wenzetu

Jamani tuache ujinga wa kuponda vyuo vya wenzetu

Mtu akiponda chuo unachosoma wewe cheka tu. Kuna jitu liliponda chuo nnachosoma 13 yrs ago, na saa hizi namtimulia vumbi tu! Bado anangoja 'dream university'. Mjini kujipanga. Ila unavyoandika unatia aibu bwana. Mambo ya ctoponda sio kabisa!
 
Kuna Mbeya University of Science and Technology wanatoa Barchelor of Technology in Architecture ambayo Tanzania hakuna chuo kinachotoa zaid ya B.of Architecture,kuna B.of Electrical and Electronics Engineering ambayo ni pale na St.Joseph 2

Hapo je?

Architect aliomaliza mbeya utaniambia ni sawa na architect aliomaliza ARDHI..??bisha nikupe mifano hai..
 
Architect aliomaliza mbeya utaniambia ni sawa na architect aliomaliza ARDHI..??bisha nikupe mifano hai..
Ila sina shida na MIST but usinitajie hio takataka ST JOSEPH..hicho sio chuo ni secondary..chuo mnapigiwa kengele ya break..dressing code etc..hicho nacho chuo..
 
tunachoangalia ni ubora wa elimu na si jina la chuo!wapo wana majina makubwa lkn wezi tu.
 
Back
Top Bottom