mvuvihodari
Member
- Feb 16, 2013
- 92
- 12
hahaa kusoma udom ni kujidhalilisha
aaaah!!!Kivip mkuu?Kwan hata mimi nimesoma UDOM na 2kafanya interview PCCB tukachukuliwa wawili wa UDOM na wenzetu wa UDSM,MZUMBE nk wakapigwa chini?fafanua usemi wako ueleweke