Jamani Tumbo Langu Linajaa Gesi Sana

Jamani Tumbo Langu Linajaa Gesi Sana

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,351
Kwa wataalam naomba msaada, jamani maana tumbo huwa linajaa gesi mpaka inakua kero hasa baada ya kubiga sana biere yaani unakaa bila raha.

Sasa kama kuna dawa ambayo inaweza kunisaidia kuondoa tatizo kabisa naomba kujuzwa.

Nawasilisha
 
Cha! yani ww unakaa na utajiri huo tumboni... mweh! Hv ile Gas ya mtwara imehamishiwa wapi?
 
punguza kula machips..... alafu kula kiasi na matunda na mboga za kutosha maji mengi
 
We acheni utani wanajamii hili suala ni tata kidogo naombeni ushausri wa kitaalamu
 
Unakula mno viporo na makande..ebu anza kula soft food uone kama hyo gesi ya mtwara itaendelea kuwa humo tumboni mwako.
 
Kapime inawezekana una bacteria waitwao Helicobacter pylori, bacteria hawa wana uwezo wa kukaa kwenye acidic condition iliyoko tumboni. Na wanasababisha hiyo hari uliyonayo. Wanavyozidi kukaa wanaweza sababisha cancer ya tumbo and clinic ulcers
 
Clonic ulcers
 
Kwa wataalam naomba msaada, jamani maana tumbo huwa linajaa gesi mpaka inakua kero hasa baada ya kubiga sana biere yaani unakaa bila raha.

Sasa kama kuna dawa ambayo inaweza kunisaidia kuondoa tatizo kabisa naomba kujuzwa.

Nawasilisha

Umeitoa wapi? Mtwara? Zungumza na wadau wawekeze au nawe uanzishe mradi wa umeme.
Au tengeneza mitungi yako uwe unajaza humo na kuuza kwa wenye majiko ya gesi
 
Back
Top Bottom