Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapime inawezekana una bacteria waitwao Helicobacter pylori, bacteria hawa wana uwezo wa kukaa kwenye acidic condition iliyoko tumboni. Na wanasababisha hiyo hari uliyonayo. Wanavyozidi kukaa wanaweza sababisha cancer ya tumbo and clinic ulcers
Kwa wataalam naomba msaada, jamani maana tumbo huwa linajaa gesi mpaka inakua kero hasa baada ya kubiga sana biere yaani unakaa bila raha.
Sasa kama kuna dawa ambayo inaweza kunisaidia kuondoa tatizo kabisa naomba kujuzwa.
Nawasilisha