Tetesi: Jamani tunaelekea wapi?😰

Tetesi: Jamani tunaelekea wapi?😰

LugaMika

Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
38
Reaction score
53
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi kisha kumtumbukiza kwenye jaba.

Imeelezwa kuwa alifanya hivyo ili achangiwe pesa na kikundi aweze kulipa madeni yake.
 
Madeni ni ugonjwa mwingine kwenye familia nyingi. Watu wana stress mtaani kwa ajili ya madeni.

Hii ni nyongeza:
Wanaume yametuletea pressure na kupungua hisia ya kufanya tendo la ndoa.
1712059441447.png
 
Back
Top Bottom