Tetesi: Jamani tunaelekea wapi?😰

Tetesi: Jamani tunaelekea wapi?😰

Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi kisha kumtumbukiza kwenye jaba.

Imeelezwa kuwa alifanya hivyo ili achangiwe pesa na kikundi aweze kulipa madeni yake.
Atakuwa amechangia damu syo mkurya Org😂😂😂😂, Mtoto kapewa jina zuriii afu kamgeuza mtaji jamn
 
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi kisha kumtumbukiza kwenye jaba.

Imeelezwa kuwa alifanya hivyo ili achangiwe pesa na kikundi aweze kulipa madeni yake.
Wanaume baadhi ni makatili sana hasa linapo kuja suala la utafutaji yuko radhi hata alale na mama yake ili apate pesa.

Hii dunia twaishi muda mfupi tu.
 
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi kisha kumtumbukiza kwenye jaba.

Imeelezwa kuwa alifanya hivyo ili achangiwe pesa na kikundi aweze kulipa madeni yake.
Toba yarabi sina mtoto ila tumbo la uzazi limenicheza
 
Back
Top Bottom