Tetesi: Jamani tunaelekea wapi?😰

Tetesi: Jamani tunaelekea wapi?😰

Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi kisha kumtumbukiza kwenye jaba.

Imeelezwa kuwa alifanya hivyo ili achangiwe pesa na kikundi aweze kulipa madeni yake.
Akamatwe na kupigw vidole kabla ya kwenda jela. Mkoa wa Mara ni kama vile Zanzibar, umelaanika
 
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi kisha kumtumbukiza kwenye jaba.

Imeelezwa kuwa alifanya hivyo ili achangiwe pesa na kikundi aweze kulipa madeni yake.
Dogo alipangiwa kufa hivyo Pindi tu alipozaliwa.
 
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi kisha kumtumbukiza kwenye jaba.

Imeelezwa kuwa alifanya hivyo ili achangiwe pesa na kikundi aweze kulipa madeni yake.
Marwa amekosea sana tena kwa kukusudia 🐒

Tumuombe Mungu atujaalie kutambua wajibu wetu katika malezi ya watoto tunaowazaa, lakini pia atujalie moyo wa bidii katika kazi, maarifa, ustahimilivu na subra pale tunapopitia changamoto za maisha 🐒

Afya ya akili ni pamoja na kuwaza na kutenda vitu ambavyo vinadhuru wengine, lakini pia vianakuathiri zaidi wewe mwenywe mentally, physically and spirituality 🐒
 
Madeni ni ugonjwa mwingine kwenye familia. Watu wana stress mtaani kwa ajili ya madeni.
Shida watu hawana elumu ya uwekezaji,again mtu akiwa naive anasukumwa na tamaa ya faida bila kuangalia process,last year nilijaribu biashara niliyofanya piloting kwa muda mrefu,nikaingia maxima haikujibu,ni Pilipili Kali Sana kuimeza,madeni ni shida na hasa kwa wafanyajazi.JATU WAMEKULA,DECI ILIKULA,MR KUKU AMEKULA,MIkopo umiza inakula.Afya ya akili haikwepeki.
 
Huyu inatakiwa abanwe pumzi akikaribia kukata roho aachiwe akihema kidogo abanwe pumzi akikaribia kukata roho aachiwe mpaka uzee wake.

Mapumziko ni saa ya uji tu, nao abanwe pua akihema na mdomo amiminiwe ukiwa na moto ambao utamuunguza ila haumuui. Halafu zoezi la ubanwaji pumzi liendelee.
 
Back
Top Bottom