ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mkuu wewe huna watoto?Yaani, tutafute wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe huna watoto?Yaani, tutafute wote
Ningekujibu ila sio hapa..hahahahahaha,pasaka njemaMkuu wewe huna watoto?
Na wewe piaNingekujibu ila sio hapa..hahahahahaha,pasaka njema
Fursa hiyo usichelewe mkuu😃Yaani, tutafute wote
Hahahahaha..yako ndio fursa mkuu ila acha tuzingue kdg hukuFursa hiyo usichelewe mkuu😃
Inaumiza kiukweli afya ya akili inahusika hapaImeniuma sana mkuu..😥
Tress za ugumu wa maisha.....tuendelee kutembea na mama.Aiseee matatizo ya afya ya akili yameongezeka.
Sasa mbona husemi kama unatafuta?Kuna watu tunatafuta watoto wengine wanaua!
Nimechangamsha genge tu!Sasa mbona husemi kama unatafuta?
Hamtuelewi tunapokuwa hatuna kitu.Wanaume baadhi ni makatili sana hasa linapo kuja suala la utafutaji yuko radhi hata alale na mama yake ili apate pesa.
Hii dunia twaishi muda mfupi tu.
R.i.P Classmate...😥
Kanda ile ile yenye watu makatili.........Angekua ni mpemba huyu au mwislam basi maneno ya chuki yangeshamiri humu na angeitwa gaidiMwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Marwa Menganyi mkazi wa Kijiji cha Keroti wilaya ya Tarime mkoani Mara anadaiwa kumuua mtoto wake, Celine Marwa, mwenye umri wa miezi minne kwa kumbana pumzi kisha kumtumbukiza kwenye jaba.
Imeelezwa kuwa alifanya hivyo ili achangiwe pesa na kikundi aweze kulipa madeni yake.
Tafuteni kwa njia halali sio kudhuru wengine so sadHamtuelewi tunapokuwa hatuna kitu.
😂😂Na yeye abanwe pumbu,kisha atumbukizwe kwenye tenki au kisima
Miaka 18 umri tayari kabisa , labda unambie wakat ndio bado ila umri ulishafika kitambo toka ulipo hit 14yrsNimechangamsha genge tu!
Mimi umri bado wa kutafuta mtoto...
Yeah tuseme umri, wakati badoMiaka 18 umri tayari kabisa , labda unambie wakat ndio bado ila umri ulishafika kitambo toka ulipo hit 14yrs