Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,545
Nimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28.
Mwanaume akitafuta mwenza kigezo umli 28-35
Mwanamke akitafuta mume umli ni 33-40
Kiufupi ni kwamba humu Jf 80% ni wahenga. Vijana wadogo wadogo wapo ila hawatafuti wachumba labda wanakufa na yao moyoni au ndo kuhangaika pm kimya kimya.
Jamani eehh vijana wenzangu age 20-28 humu tutakufa na ugumu bora turudi fb kwa kina mariamu hassani na juma kadala.
Nawasilisha
=======update==[emoji116] [emoji116]
Nakumbuka mwaka juzi wana Jf kutoka MMU walijitoa ufahamu wakaunda MMU whatsup kimbembe kwenye kutuma picha kuna Jamaa aliombwa aweke picha aligoma hadi mwezi unaisha siku rafiki yake kapost picha yake ni mtu mzima zaid ya 45yrs ilibidi wana MMU wamsalimie kwa adabu zote, next day Ali left baba Wa watu. wanaume wengi ni 30-40 yrs na wanawake ni 26-35 yrs ndiyo wapo humu.
ILa siyo mbaya ngoja tucheze nao ngote ngote