Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Pablo

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
2,441
Reaction score
2,545
Nimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28.
Mwanaume akitafuta mwenza kigezo umli 28-35

Mwanamke akitafuta mume umli ni 33-40
Kiufupi ni kwamba humu Jf 80% ni wahenga. Vijana wadogo wadogo wapo ila hawatafuti wachumba labda wanakufa na yao moyoni au ndo kuhangaika pm kimya kimya.

Jamani eehh vijana wenzangu age 20-28 humu tutakufa na ugumu bora turudi fb kwa kina mariamu hassani na juma kadala.

Nawasilisha
=======update==[emoji116] [emoji116]
Nakumbuka mwaka juzi wana Jf kutoka MMU walijitoa ufahamu wakaunda MMU whatsup kimbembe kwenye kutuma picha kuna Jamaa aliombwa aweke picha aligoma hadi mwezi unaisha siku rafiki yake kapost picha yake ni mtu mzima zaid ya 45yrs ilibidi wana MMU wamsalimie kwa adabu zote, next day Ali left baba Wa watu. wanaume wengi ni 30-40 yrs na wanawake ni 26-35 yrs ndiyo wapo humu.

ILa siyo mbaya ngoja tucheze nao ngote ngote
 
Nimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28.
Mwanaume akitafuta mwenza kigezo umli 28-35

Mwanamke akitafuta mume umli ni 33-40
Kiufupi ni kwamba humu Jf 80% ni wahenga. Vijana wadogo wadogo wapo ila hawatafuti wachumba labda wanakufa na yao moyoni au ndo kuhangaika pm kimya kimya.

Jamani eehh vijana wenzangu age 20-28 humu tutakufa na ugumu bora turudi fb kwa kina mariamu hassani na juma kadala.

Nawasilisha
Unatakaa mke
 
Wewe una mchumba tayari?
 
Na huu ndo ukweli.Na kati ya watoto ama vijana wadogo ni mie nikiwa Cambodia
 
wahaenga ndo wanajua kutunza! vijana mbwembwe nyingiiiiii ila hakuna kitu!
Nawao ni matapeli tu. Huko pm wanalaumiana wenyew kwa wenyew tu. Sema wahenga wamekuja kufia humu maana huko fb sura zimeshachokwa
 
Nimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28.
Mwanaume akitafuta mwenza kigezo umli 28-35

Mwanamke akitafuta mume umli ni 33-40
Kiufupi ni kwamba humu Jf 80% ni wahenga. Vijana wadogo wadogo wapo ila hawatafuti wachumba labda wanakufa na yao moyoni au ndo kuhangaika pm kimya kimya.

Jamani eehh vijana wenzangu age 20-28 humu tutakufa na ugumu bora turudi fb kwa kina mariamu hassani na juma kadala.

Nawasilisha
Kila mtu anainterests zake humu,kama yako ni MMU na umegundua pamekuloka we timka zako, mkuu Mimi ni under 23 [emoji4][emoji4][emoji4]lakini naenjoy kuvinjali Jamiiforums
 
Twende fb na wewe
 
Back
Top Bottom