Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Naukumbuka huo uzi. Nilikua nasoma mpaka machozi yananitoka. Wakati wengine wakiwa proud na mama zao wengine wanaona kama ni laana kulelewa na mama. Dunia bwana
 
na ndo wanaume weng wapo hvy!ila huku sasa!!!!!!!!!!!!!!
Yaani ni wengi sana, halafu wakiwa watu wazima wanasumbua sana watoto nakuwa lalamikia mama zao ndiyo wana faidi matunda ya watoto, na ukifuatilia background yao utakuta walikimbia majukumu yao
 
Hajambo sana. Nimemuacha kanisani... mi nimetoroka kidogo kuja kuzimua afu nirudi church fasta kabla misa haijaisha
Heeee uzee nao mtihani, babu wewe kanisani si utakuwa unaenda tofauti na wengine,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…