Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

wengne wanaambiwaga ila raha yao kuponda!kuna uzi upo humu nadhan unasema wale tuliotelekezwa na baba zetu tukutane hapa !jaman unatia uchungu huo uzi!niliumia sanna sana!nahakika ulifika pg 30!ila haohao waliolelewa na mama zao wanakuja hapa kunanga !manina kwakwel
Naukumbuka huo uzi. Nilikua nasoma mpaka machozi yananitoka. Wakati wengine wakiwa proud na mama zao wengine wanaona kama ni laana kulelewa na mama. Dunia bwana
 
na ndo wanaume weng wapo hvy!ila huku sasa!!!!!!!!!!!!!!
Yaani ni wengi sana, halafu wakiwa watu wazima wanasumbua sana watoto nakuwa lalamikia mama zao ndiyo wana faidi matunda ya watoto, na ukifuatilia background yao utakuta walikimbia majukumu yao
 
Hajambo sana. Nimemuacha kanisani... mi nimetoroka kidogo kuja kuzimua afu nirudi church fasta kabla misa haijaisha
Heeee uzee nao mtihani, babu wewe kanisani si utakuwa unaenda tofauti na wengine,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom