Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amen kipenzi
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amen kipenzi
Kutojitambua tuHaoaf mi toka zamani napenda wanaume wakubwa wanaonizidi wanaojielewa vitoto napeleka wapi hakitoshi hata kifuani mambo ya kitoto toto mengi
AminaYah
kwa heshima ya wanaume imenibidi nifanye hivyo.
Hawajui kama uzee ni hazinando mtafute jukwaa kwakwel!mtuache tuzeeshane hapa
Hajambo sana. Nimemuacha kanisani... mi nimetoroka kidogo kuja kuzimua afu nirudi church fasta kabla misa haijaisha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hajambo bibi!
mapenzi na mkubwa mwenzako huwa raha isio kifani!hawa watoto kutwa kukuomba picha pm!mxiewwwwwwwwwwwwwwwwHaoaf mi toka zamani napenda wanaume wakubwa wanaonizidi wanaojielewa vitoto napeleka wapi hakitoshi hata kifuani mambo ya kitoto toto mengi
Naukumbuka huo uzi. Nilikua nasoma mpaka machozi yananitoka. Wakati wengine wakiwa proud na mama zao wengine wanaona kama ni laana kulelewa na mama. Dunia bwanawengne wanaambiwaga ila raha yao kuponda!kuna uzi upo humu nadhan unasema wale tuliotelekezwa na baba zetu tukutane hapa !jaman unatia uchungu huo uzi!niliumia sanna sana!nahakika ulifika pg 30!ila haohao waliolelewa na mama zao wanakuja hapa kunanga !manina kwakwel
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aka mwenzangu tunataka wanaojielewa na kujiongeza basi hao wapeleke mafua yao huko
Yaani ni wengi sana, halafu wakiwa watu wazima wanasumbua sana watoto nakuwa lalamikia mama zao ndiyo wana faidi matunda ya watoto, na ukifuatilia background yao utakuta walikimbia majukumu yaona ndo wanaume weng wapo hvy!ila huku sasa!!!!!!!!!!!!!!
Wakati wakubwa wanaanza kukuomba namba ya mpesa wao wanakazana na picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mapenzi na mkubwa mwenzako huwa raha isio kifani!hawa watoto kutwa kukuomba picha pm!mxiewwwwwwwwwwwwwwww
Ni upuuzi kujifanya mpumbavuWatoto hawaelewagi wao wanajua walikua kwa juhudi za baba na mama
Aka mwenzangu tunataka wanaojielewa na kujiongeza basi hao wapeleke mafua yao huko
Mbona ke tuna tongozwa na mababu lakini tuna waheshimu na uzee wao na hatuwavunjii heshima!Halafu akitoka hapo anakuja kuweka uzi wanawake wa Jf wahenga kama vile alitumwa atongoze fake Id
hehehehe mkubwa mwenzio raha sana sana sana!kwanza inahitaj wito kumvulia nguo kitoto cha 24yrs!vikafie mbele !Wakati wakubwa wanaanza kukuomba namba ya mpesa wao wanakazana na picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ndo siwezi na watoto.hehehehe mkubwa mwenzio raha sana sana sana!kwanza inahitaj wito kumvulia nguo kitoto cha 24yrs!vikafie mbele !
mm nahs LAANAMimi ndo siwezi na watoto.
Nisalimie... Wakati huo mm nipo mwaka wa pili pale ifmna mimi ndo youngest.
wakati JF inaanza 2006 mimi nilikuwa darasa la kwanza.Kokotoa umri wangu ikiwa nilianza darasa la 1 nikiwa na miaka 7.
Unamlaani mtoto kumuonyesha k ya mtu mzimamm nahs LAANA
Heeee uzee nao mtihani, babu wewe kanisani si utakuwa unaenda tofauti na wengine,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajambo sana. Nimemuacha kanisani... mi nimetoroka kidogo kuja kuzimua afu nirudi church fasta kabla misa haijaisha