Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

na mimi ndo youngest.
wakati JF inaanza 2006 mimi nilikuwa darasa la kwanza.Kokotoa umri wangu ikiwa nilianza darasa la 1 nikiwa na miaka 7.
 
Wewe humu umepotea njia fb ndo kunakufaa.
Alafu kwa uandishi wako na the way unavyojibu comments basi kama ukithibitisha tu kwamba elimu yako sio form four failure basi najitoa rasmi jamii forum(the home of great thinkers)
.
Itakuwa ulijiunga jf baada ya kugoogle neno natafuta mchumba wewe ndomana huoni utamu wake
 
woooooiiizzzzzeeeeerrrrrrr
 
hivi JF ni maalum kwa ajili ya kutafuta wachumba? Huoni hiyo chata ya Great Thinkers.. mtu anayetafuta uchumba kwa asiowaona wala kuwafahamu na ZUZU mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…