MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
Waeleze mpwa.Hahahaha sasa kama Mimi hapa JF ni mwaka wangu wa kumi, utafikiri Nitakua na miaka mingapi? Under 18??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waeleze mpwa.Hahahaha sasa kama Mimi hapa JF ni mwaka wangu wa kumi, utafikiri Nitakua na miaka mingapi? Under 18??
Hahaahaha Kaka sie Wakongwe atiWaeleze mpwa.
Duh!Hahahaha sasa kama Mimi hapa JF ni mwaka wangu wa kumi, utafikiri Nitakua na miaka mingapi? Under 18??
Hahahahahaa ndio kwanza nimebalehe juziDuh!
Haha..weh jidanganye tuHahahahahaa ndio kwanza nimebalehe juzi
Kweli kabisaaaa ujue!! Muulize MBITIYAZAHaha..weh jidanganye tu
Nawasalimu wahengayna4 elli ni mdogo kwangu kwa miaka 7!anazengua !nataman tuwe wote 100% wahenga aisee
MARAHABAANawasalimu wahenga
Wewe humu umepotea njia fb ndo kunakufaa.
Alafu kwa uandishi wako na the way unavyojibu comments basi kama ukithibitisha tu kwamba elimu yako sio form four failure basi najitoa rasmi jamii forum(the home of great thinkers)
.
Itakuwa ulijiunga jf baada ya kugoogle neno natafuta mchumba wewe ndomana huoni utamu wake
Pamoja na mieNa huu ndo ukweli.Na kati ya watoto ama vijana wadogo ni mie nikiwa Cambodia
[emoji23] [emoji23]Nawao ni matapeli tu. Huko pm wanalaumiana wenyew kwa wenyew tu. Sema wahenga wamekuja kufia humu maana huko fb sura zimeshachokwa
Mie natafuta mhenga mwenzangu ,ila bado cjapatayna4 elli ni mdogo kwangu kwa miaka 7!anazengua !nataman tuwe wote 100% wahenga aisee
43yrs [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha sasa kama Mimi hapa JF ni mwaka wangu wa kumi, utafikiri Nitakua na miaka mingapi? Under 18??
Wahenga haswaaaKweli watu wazima tupo wengi sana
Atakapo shituka anatembelea mkongojo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haha..weh jidanganye tu