Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana kuwa na heshima.Embu nikuone
Hahaha bora humu mkuu hatujuani, sasa insta ndo huwa nashangaa..kule kila mtu mweupe kasoro baraka tu, kila mtu anaishi kwenye nyumba yenye tiles,gypsum, aluminium Windows zina slide, gari kawaida afu kule kila mtu ni mzuri huwa nacheka weee namwachia mungu atawaadhibu kwa ufake waoSio uhenga tu humu kila mtu anaishi Dar es Salaam ,kila mtu ameajiriwa au kujiajiri na maisha ya hadhi ya juu kiasi ,angalau kila mtu amepanda ndege (kwa mujibu wa post na comments zao?)
Nipo kijana wenu..majukumu yalinifanya nitokomee huku kwa mudaUpo aiseee?
Mkuu ulitokomea wapi
Ikadaiwa kwamba ume disco chuoNipo kijana wenu..majukumu yalinifanya nitokomee huku kwa muda
Hakuna huo uhusiano na mimiIkadaiwa kwamba ume disco chuo
sawaWewe ndio ulivo