Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watoto bwana.....
Unaweza ukajikuta ujadili mada za ndoa na mwanao wa kumzaa humu......
Mkuu mbona na uelevu wako unashindwa kuweka emoj unabaki kuandika 😀😀😀 ??Dah...Ukurya shida kwenye kutamka lakini ukishindwa kwenye kuandika huo ni ujinga...mbona kiingereza hamkosei???😀😀😀
pia wote huku wana degree , masters , phd nk , darasa la saba hakuna hapa jf
Dah...ishu hapa ilikuwa kuchanganya r na l katika kuandika...suala la emoji ni la kibinafsi sana.. kwani linategemea mashine pamoja application unayotumia ...mie natumia Osborne 1 😀😀😀😀😀Mkuu mbona na uelevu wako unashindwa kuweka emoj unabaki kuandika 😀😀😀 ??
Weka emoji bana achana na huo ushamba.
Mbona simple tu kuweka [emoji2] [emoji2]
Boss ni kweli usemalo . at least ukiwa form five nakuendelea ndo unaweza kuijua Jf below ya hapo ni wachache sana pamoja na hayo yote bado tunarudi pale pale. Wahenga wamejazana humu ..post zote za wenza ni 28 n abovepia wote huku wana degree , masters , phd nk , darasa la saba hakuna hapa jf
hahaaaa nahivi watu wanatumia avatar na id fakeWatoto bwana.....
Unaweza ukajikuta ujadili mada za ndoa na mwanao wa kumzaa humu......
Umetusahau memkwa, nipo humupia wote huku wana degree , masters , phd nk , darasa la saba hakuna hapa jf
hahaaa akili zao nipacha sindio ??Samahani mkuu...
Hivi unaundugu na Beira Baby Boy....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Maana Duhhhh....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] humu si tu tuna parents na grandparents, hadi great grandparents wamoKuna mmoja huyo aliniacha hoi miaka 70 alikuwa ameshamaliza form six [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sikuhizi kitanda changu GodoRo na net nimevihamishia humu jf ...huku ndio konki ya habari za kujifnza kujibudurudisha nakufariji akili na mwili...naanzaje kutoka sasa humu hiyo instagram ndio sitki kuiskia kabisa...nibaada ykuanza kuona nimezungukwa nastory za ajbu ajbu kila siku mobeto cjui alikiba kafnya nini ?? wakati watu wanatumia muda mwingi kudiscus maisha yao wenzao wanaishi maisha yao nawanavuna Pesa...maisha huanza baada ya miaka 40 MTU afike hapo halafu awe hana rasilimali tija yyote nyingine zaid ya simu tu aliyonayo rasilimali hizo kama ardhi .biashara kubwa nyumba na magari""Kwakweli
Halafu vijana wengi hawajui Jf, wengine wanajua ila hawafatiii kabisa. Japo ni kweli wahenga wamejaa atleast ni 50% ,ikifatiwa na 30s ambao nahisi ni30% vijana tunaweza kuwa 20%
mimi Jf nmeijua tangu 2013 nikawa nasoma tu nikifungua acc inakataa... nikagundua haitaki watu wa90s ndio nikaamua kufake 80s
....
Katika social net niko nazo addicted ni Jf
Fb sijui naionaje...
hahaaa eti kilometa. duuuuhhhWatu wamesoma kilomita humu mpk basi ila kwa kujibebisha sasa.
Dah kweli kabisa. Yaani mle nilikutana na nyimbo 98% sijawahi hata kuzisikiaNi kweli kabisa, hata ile thread ya kuulizia wimbo ulioumiss, nyimbo zinazotajwa nyingi ni za 80's, wahenga oyeeee!
hahaaaa sasa na akili yke pia vipi mkuu sio muhimu piaWewe unanifaa. Your my type. ILa cjui kama tutayajenga maana sura nayo ni muhimu siyo umli tuu.
hahaaahaaaaa aiseeeeeeMiaka chini ya 28 nitafute mchumba mtandaoni??, utakuwa una matatizo sio bure. Anayway Kama humu wote ni wahenga basi no wonder why uchumi wa nchi yetu unashuka maana kuna baadhi ya michango ya watu humu unaweza kujiuliza alitumia kiungo kipi kufikiria kabla hajachangia.