stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Nyinyi mnaonuka maziwa tumewaachia FACEBOOK huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OyeeeeNi kweli kabisa, hata ile thread ya kuulizia wimbo ulioumiss, nyimbo zinazotajwa nyingi ni za 80's, wahenga oyeeee!
Ahahahhhh kumbe tuna umuhimuWazee leo tumekumbukwa
Haaaa cuzoo siunajua kijiji bila wazee hakiendiAhahahhhh kumbe tuna umuhimu
Ahahahhh na kweli cuzooHaaaa cuzoo siunajua kijiji bila wazee hakiendi
Dah...Lakini kuna tofauti kubwa kati ya uzee na uhenga... Uzee ni kuchoka mwili na akili...uhenga ni kuishi kwingi na kuona mengi.....Unaweza kukutana na mhenga mwenye 30yrs...na mzee mwenye 25yrs😀😀😀😀Utafiti wako una asilimia kadhaa za ukweli!hakuna namna tukomae nao tu hawa wahenga
Dah...Ukurya shida kwenye kutamka lakini ukishindwa kwenye kuandika huo ni ujinga...mbona kiingereza hamkosei???😀😀😀Asante boss .ukurya nao ni shida r na l ni tatizo