Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Sema hujawahi kuona hilo bandiko lakini vijana mko wengi zaidi. Halafu kijana, siyo "umli" bali ni "umri" jitahidi usijekosa mchumba!
 
Sema hujawahi kuona hilo bandiko lakini vijana mko wengi zaidi. Halafu kijana, siyo "umli" bali ni "umri" jitahidi usijekosa mchumba!
Asante boss .ukurya nao ni shida r na l ni tatizo
 
Ni kweli kabisa, hata ile thread ya kuulizia wimbo ulioumiss, nyimbo zinazotajwa nyingi ni za 80's, wahenga oyeeee!
Asante braza kwa kuliona hilo
 
Kuna mmoja huyo aliniacha hoi miaka 70 alikuwa ameshamaliza form six [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nazijua id's za babu zangu watatu humu ambao ni lemutuz, stephen wasira na cheyo.
 
Utafiti wako una asilimia kadhaa za ukweli!hakuna namna tukomae nao tu hawa wahenga
Dah...Lakini kuna tofauti kubwa kati ya uzee na uhenga... Uzee ni kuchoka mwili na akili...uhenga ni kuishi kwingi na kuona mengi.....Unaweza kukutana na mhenga mwenye 30yrs...na mzee mwenye 25yrs😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom