Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Utashitukia vijana wadogo ndio wanatafuta wapenzi wakubwa kubwa, wenyewe wanawaita 'sponsor'
 
Sio uhenga tu humu kila mtu anaishi Dar es Salaam ,kila mtu ameajiriwa au kujiajiri na maisha ya hadhi ya juu kiasi ,angalau kila mtu amepanda ndege (kwa mujibu wa post na comments zao?)
 
Hamna kitu kama hicho boss, wamama ndio watafutao vijana na siyo vijana kutafuta wamama
 
Sio uhenga tu humu kila mtu anaishi Dar es Salaam ,kila mtu ameajiriwa au kujiajiri na maisha ya hadhi ya juu kiasi ,angalau kila mtu amepanda ndege (kwa mujibu wa post na comments zao?)
Hahaha bora humu mkuu hatujuani, sasa insta ndo huwa nashangaa..kule kila mtu mweupe kasoro baraka tu, kila mtu anaishi kwenye nyumba yenye tiles,gypsum, aluminium Windows zina slide, gari kawaida afu kule kila mtu ni mzuri huwa nacheka weee namwachia mungu atawaadhibu kwa ufake wao
 
Aspirin cjui Atakuwaje. Ngoja Nitafakali Huyu Msela
 
Back
Top Bottom