Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Haaaaa babu Asprin eeee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sitorudia kuonana na mwana Jf wa kike hata mmoja. Kila nayemuibukia kanizidi umri kuanzia 4yrs. Bora hawa mabro tuliofahamiana nao.
Midem mingi ya JF singo maza haina mwelekeo wa maisha ya ndoa.
 
Sitorudia kuonana na mwana Jf wa kike hata mmoja. Kila nayemuibukia kanizidi umri kuanzia 4yrs. Bora hawa mabro tuliofahamiana nao.
Midem mingi ya JF singo maza haina mwelekeo wa maisha ya ndoa.
Duh, tafadhali mkuu. Hili jiwe la manati kabisa.
 
Nimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28.
Mwanaume akitafuta mwenza kigezo umli 28-35

Mwanamke akitafuta mume umli ni 33-40
Kiufupi ni kwamba humu Jf 80% ni wahenga. Vijana wadogo wadogo wapo ila hawatafuti wachumba labda wanakufa na yao moyoni au ndo kuhangaika pm kimya kimya.

Jamani eehh vijana wenzangu age 20-28 humu tutakufa na ugumu bora turudi fb kwa kina mariamu hassani na juma kadala.

Nawasilisha
=======update==[emoji116] [emoji116]
Nakumbuka mwaka juzi wana Jf kutoka MMU walijitoa ufahamu wakaunda MMU whatsup kimbembe kwenye kutuma picha kuna Jamaa aliombwa aweke picha aligoma hadi mwezi unaisha siku rafiki yake kapost picha yake ni mtu mzima zaid ya 45yrs ilibidi wana MMU wamsalimie kwa adabu zote, next day Ali left baba Wa watu. wanaume wengi ni 30-40 yrs na wanawake ni 26-35 yrs ndiyo wapo humu.

ILa siyo mbaya ngoja tucheze nao ngote ngote
Ssa we ulitkaje uwe pekyko au ndo nyny mnaopenda kupost upumbavu post upumbavu huuone maamuzi ye2
 
ukweli mtupu
mie nipo nao whatsapp siku natuma pic yangu naambiwa heeeee kumbe we ni mdogo wangu wa tano kabisaaaaaa
 
Sitorudia kuonana na mwana Jf wa kike hata mmoja. Kila nayemuibukia kanizidi umri kuanzia 4yrs. Bora hawa mabro tuliofahamiana nao.
Midem mingi ya JF singo maza haina mwelekeo wa maisha ya ndoa.
chungu tamu hii
 
Back
Top Bottom