Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sio sana [emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahaha nzuri daaaah aiseee hahahahahahah
kumbe nawewe muongeaji hatariiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio sana [emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahaha nzuri daaaah aiseee hahahahahahah
kumbe nawewe muongeaji hatariiiii
ninae hapa ana 25 na ni single momWhy single mom? Na wewe single dad au mtu mzima? Kama hujafika hata 30 sahau single mom
Kama umemzidi sawa.ninae hapa ana 25 na ni single mom
hanaga time ya kuchungulia umri wangu ingawa nimemzidi muda ukifika anabebeshwa tu
Hata tabia mbaya nayo pia ni uchafuMbona mnawaoffend sana wenye umri mdogo..kuwa msafi ni hulka tu,unaweza kuwa 28+ bado ukawa mchafu..
ila leo jamaa mmemlaza na viatu duuhSio sana [emoji23][emoji23][emoji23]
yani mie hata kuzaaa i prefer single mom......ana kipaumbele kikubwa sana kwangu
tunaboa hatarhahahahaahahaha ****.mamaeeeeee aiseeee kumbe huko pm ndio kuna mazoezi makali ivi mnafanyishwa
Naona unaendeleza unyanyapaa kwa kutucheka wahenga.[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, poletunaboa hatar
asante mdogo wanguHahaha, pole
Hahaha mdg tena ? OK inawezekana mie Nina 41+ ,ila udongo wa kichina ,MTU mkavuasante mdogo wangu
hahhhahaha !... approachng 43!nna haki!lol!ht mm udong wangu mzuriHahaha mdg tena ? OK inawezekana mie Nina 41+ ,ila udongo wa kichina ,MTU mkavu
Hapo sawa siwezi kubishahahhhahaha !... approachng 43!nna haki!lol!ht mm udong wangu mzuri
Si mbaya ukanipa kaheshima kangu mkuu!Hapo sawa siwezi kubisha
Kuanzia Leo nakupa heshima yako,mie sio mchoyo wa hivi vitu km kweli umenizidi ,heshima kwakoSi mbaya ukanipa kaheshima kangu mkuu!
aaaaawwwww! leo siipokei..ntaipokea siku nyngne!lolKuanzia Leo nakupa heshima yako,mie sio mchoyo wa hivi vitu km kweli umenizidi ,heshima kwako
Hahaha, haya bibieaaaaawwwww! leo siipokei..ntaipokea siku nyngne!lol
Kwa umri wa JF humu ,nadhani majibu unayo nani mhenga zaidiaaaaawwwww! leo siipokei..ntaipokea siku nyngne!lol
hhahaah saluteKwa umri wa JF humu ,nadhani majibu unayo nani mhenga zaidi