Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Why single mom? Na wewe single dad au mtu mzima? Kama hujafika hata 30 sahau single mom
ninae hapa ana 25 na ni single mom
hanaga time ya kuchungulia umri wangu ingawa nimemzidi muda ukifika anabebeshwa tu
 
yani mie hata kuzaaa i prefer single mom......ana kipaumbele kikubwa sana kwangu


asante sana kuwaelewa !labda mshindwane tu au awe na hulka ya kkumleta mzaz mwenzake hom!hyo sio poa
 
Back
Top Bottom