Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Kama haziko sahihi mbona wahusika hawakanushi na kutupa zilizo sahihi? Kwa mfano polisi hawajakanusha kuwa wanamtafuta! TRA hawajakanusha kuwa zile kadi za Gari ya Tanga Petroleum inayomilikiwa na mtuhumiwa wa madawa iliyopaki kwa Bashite ni fake! Hapo haushangai? Wala Bashite hakanushi kuwa anatumia Gari ya mtuhumiwa wake wa madawa! Haushangai tu?
Sina maana kuwa yote ayasemayo Mange ni ya kweli lakini mengine ni ya kweli na ameweka ushahidi usiokanushika ndiyo maana wahusika wana namna moja tu ya kufanya nayo ni KUKAA KIMYAAA!!!!!!
 
Hivi aliyewataja hadharani mapapa wauza unga sio shujaa na jasiri??? Hii ipo tz tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliwataja wanaodaiwa mapapa kwa lengo la kuwatisha ili ajinufaishe binafsi! Ameshawachomoa michuma ya nguvu kina Tanga petroleum na ushahidi wa picha ya mchuma ukiwa umepaki kwa "mpambanaji wa madawa" na kadi ya Gari wote tumeiona na hakuna aliyethubutu kukanusha!
 
Hivi kweli nyie wanaume na wanawake mnaojitosheleza mnasadiki kweli Mange ni hero?? Hii nchi inamatatizo ndo maana viongozi na wenyewe wanfanya watakavyo.. Mange hana chakupoteza tena Huku kumbukeni hilo
Anapoteza usingizi wake na kuweka akili yake kwenye anacho post mkuu...
 
kula like bukuuuuuuuuu
 


Kwani kuna watanzania wangapi wako nje ya nchi ambako sheria hizi haziwabani na hawajawahi fungua mabakuli yao? Tena hadi marekeni wapo kibao lakini wameufyata kama vichanga.

Acha Mange aitwe Mange
 
Hivi aliyewataja hadharani mapapa wauza unga sio shujaa na jasiri??? Hii ipo tz tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mange alianza kuwataja mapapa wauza unga toka enzi za jk, mpaka amewahi tishiwa bastola hapo dar.
 
..tumuombee kwa MUNGU (japo ni ngumu kiasili) asije pinduka na kusaliti kama ilivyo asili kwa MWANAMKE...!

Usaliti kwao ni kitu kiko "DAMUNI"..
Tunampongeza leo kesho unaambiwa amerudi na kujiunga na TEAM Bashite n.k....

Bi Hawa (Eva) alimsaliti BABU yetu Adam... Delilla alimsaliti Samson..
Yule dada WOLPER aliye jifanya ni team lowassa (chadema) bila haya akaamia TEAM BASHITE...

Haya mwingine nae hana muda...baada ya kutajwa katika sakata la MADAWA na kukutwa na kinachodhaniwa ni MSOKOTO wa BANGE/I hasira zake yeye na mama wameamia KAMBI YA LOWASSA...

Huwa sina imani kubwa na viumbe jinsia KE...wanaweza kufanya maamuzi ama kwa kudanganywa ama kwa hasira...

Tuko pamoja na dada yetu MANGE katika harakati ila yataka MOYO..UKOMAVU na UVUMILIVU...Keep it UP..!!
 
Kama upo nae pamoja mkuu weka full your identification na picha yako
 
Huyu ni dada shujaa.hongera kwa kazi dada Mange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…