Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya ni hero bora mtukunaji lakini impact inaonekana pamoja na matusi yake message inakuwa sent.....kuliko wengne ambao atatusi hawatukani lakn wamejikalia kimya kwa uwoga ilihali wanajua mambo flani...!.Tuombe radhi. Kweli watz tunaweza tukawa na hero mtukanaji kama huyo?!
Ao mapapa wauza unga waliotajwa wapo wapi sasa hivi? Je wamefungwa? Wameacha kuuza unga?Hivi aliyewataja hadharani mapapa wauza unga sio shujaa na jasiri??? Hii ipo tz tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wewe unataka kusema mtukanaji ni Mange peke yake mpaka unalifanya kuwa jina lake? Wangapi humu wanatukana? Hivi kuwaambia watu wafyatue watoto siyo matusi? Sikubaliani na matusi lakini asilaumiwe mmoja wakati watu wengi licha ya kusema matusi kama mange lakini wanayaonyesha matusi na kuyafanya matusi kila uchao!Tz haiwezi ikawa na hero mtukanaji kama yule
Sasa kwa nini hizo habari wasikupe wewe? Jibu ni rahisi tu kuwa huna ubavu wa kuzianika! Kwa hiyo anapelekewa shujaa anayeimudu kazi!mange tyako tuuu yule hana lolote
unadhani kuwa watu hawana habari wanazo sana ndo wanao mpa uyo mange wako
tatizo ni sheria mbovu wee iseme tuu kama uwendi kunyia debe
Kwani wewe hufutagi SMS kwenye Simu yako? Ujumbe ukitimiza majukumu yake hakuna sababu ya kuubakisha!hebu nikuulize imekuwaje tangu jana mange kafuta clip zote za makonda kafunga nahiyo account? kama ulijifanya kiherehere za kukoment mambo ya kijinga your gone myfriend! anza kabisa kuandaa watu wa kukudhamini.
Hahahah, watu wameweka kambi kwenye akaunti yake si mchezo wanasubiri ubuyu wa moto
Mkuu sio kila mtu anajua ngeli humu. Ili wengi waweze kuelewa ndyo maana tuneacha ivyo. Ucdhani ni wewe mwenyewe ndye wajua.Hivi wale wanaojua ngeli neno hero linatumika kwa ke?
Akianza kumtukana Manywele muendelee kumsifia hivohivoLeo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Ni Heroin kama sikosei...Hivi wale wanaojua ngeli neno hero linatumika kwa ke?
Sasa kuua watu ni sifa? Ni Nani ambaye hatakufa?Jamani ku deal na serikali sio kitu rahisi kumbuka serikali wana uwezo wa kukuzimisha hata huko ulipo
Yani huyo dada ni kama kajitoa kafala maana serikali yoyte ulimwenguni ikiamua kuku ua haishindwi