Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

sema mange anatatizo moja akikasirika anatumiaga lugha kali sana na zisizo na staha.....
ila akitulia kwenye hoja za msingi utampenda........
mbona wao wanatumia lugha zisizo na staha, kuwambia watu tetemeko nyie, ukimwi nyie, katerelo nyie ni lugha ya staha hiyo kweli?
 
Mm hua napenda kile kipe ngele hua anasema Tanzania ni yetu sote,,,, sasa nawaza nayy Tanzania niyake,??,,kikinuka uku yy nae atapatwa?????... U jst pitty her
 
sema mange anatatizo moja akikasirika anatumiaga lugha kali sana na zisizo na staha.....
ila akitulia kwenye hoja za msingi utampenda........
Umenena kweli hapo kwenye matusi ndo anapoharibu
 
Ni wanamme wangapi wa dar wamepaza sauti zao kulalamika juu ya mkuu wa mkoa wao kma mange? Ukipata jibu utoe na idadi ya wanaime wote wa dar. Jibu utakalopata ni kuwa ao waliobakia hwana maana katika jamii ya dar
Wewee kulalamika unamaana gani
 
Ni wanamme wangapi wa dar wamepaza sauti zao kulalamika juu ya mkuu wa mkoa wao kma mange? Ukipata jibu utoe na idadi ya wanaime wote wa dar. Jibu utakalopata ni kuwa ao waliobakia hwana maana katika jamii ya dar
Wanaume wa dar hivi mmelikubali hili??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ujasiri wa huyu Dada Hakuna mwanaume wa bongo aliyenao, bonge la jembe lisiloyumbishwa.
Hivi aliyewataja hadharani mapapa wauza unga sio shujaa na jasiri??? Hii ipo tz tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwangu mm namsifu sana Mange kwa anachofanya. Wakatae kumuita the Hero ama wakubali kwangu mimi atabaki kuwa mwanaharakati mwenye nia njema na nchi hii.

Ana uthubutu na hata ukifuatilia comments Za followers wake wapo watu toka nchi mbalimbali wanamsifu kwa jitihada anazofanya.

Km hajui kitu ama hana uhakika nacho anasema. Hana upendeleo/unafiki. Awe Lowasa, Kikwete, Magu hata Tundulisu akikosea kesho hashindwi kumuonya ama kumpa facts sio cc huku kujikomba komba

Hata km wapo wanaompa information bado wanamuona ni hero/sehemu ya kuwasemea wanachokitaka na ni jinsi zote na kada zote bila kuangalia usiri wa vitengo vyao wanavyofanyia kazi wanampaga taarifa hata toka mataifa mengine.

Hero/mwanamke mthubutu, mwanaharakati, hajikombi kwa mtu, unafiki kwake nooo.
 
Mange kavaa rangi gani kwani? Mange keshasema kahama CCM? Mange mnayemtaja mnajua kuwa hilo ni jina la group siyo mtu? Mange atabaki kuwa CCM na ni CCM na anaongea maneno anayopewa na wana CCM. Hawezi kumkubali mteuliwa wa ukawa na hamkubali mpaka kesho. ID kwenye mitandao isiwapotoshe. Tafakari.
Usituingizie sis
 
Hao walizo nazo kwann wasizitoe wao lkn wanampa mange atoe hizo habari? Afu inaonekana hata ww hujiamin. Km una habar toa watu wasome
Kumbe nawe bogus kabisa!
Wewe hujui kuwa Mange anatumiwa tu na watu walio hapa nchini.
Wanafanya hivyo kwa ajili ya kuogopa mkono wa sheria. Hivi huyo Mange kule alipo anaota kuwa Tz kuna matukio gani kama si kuambiwa?
Mwanamume mzima na mbupu zake anakuja hapa eti Mange ni hero!
 
Back
Top Bottom