Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Nasikia U.S.A but am not sureAnaishi wapi kiongozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia U.S.A but am not sureAnaishi wapi kiongozi?
Nenda instargram kamuulize hayo maswali uchukue na namba yake ya simu mpigie sawaKiukweli cmjui huyu Mange. Anaishi wapi? Na anapata wapi taarifa za yanayoendelea Tanzania? Huko aliko ana amkaa muda mmoja Na sisi? Nauliza tu lakini
Mbona hata Rais anatukana? Itakuwa ni tabia zetu. Ya umalaya mwenye data za huku na kule alete ili tufanye maamuzi pasipo bias.Tuombe radhi. Kweli watz tunaweza tukawa na hero malaya na mtukanaji kama huyo?!
Tupe jinamtu mwenye akili timamu hawezi kumuita mange hero.. amtafutie jina lingine
Mbona kajificha kwenye uraia wa marekani mj!!!!! Tuu huyu mangeMange ni mwanamama shujaa kuwahi kutokea Tanzania
Walalamike nini wakati dar kwa sasa kaifanya iwe vizuri wewe unatokea mkoa gani wa dar hatuwezi lalamika kwasababu hakuna kibaya zaidi alicho kitenda bwana kuhusu ufaulu wake ni siri yake maana matokeo ndo maana yanaandikwa Namba na sio majina serikali inalijua hiloNi wanamme wangapi wa dar wamepaza sauti zao kulalamika juu ya mkuu wa mkoa wao kma mange? Ukipata jibu utoe na idadi ya wanaime wote wa dar. Jibu utakalopata ni kuwa ao waliobakia hwana maana katika jamii ya dar
Hahahaha hata mwendawazimu akiamua kutembea uchi ataitwa hero! Hivi Mange Kimambi anawafundisha watoto wenu nini? Mitusi au ku blackmail? What does the new generation has to learn from her! Please my fellow Tanzanians let us be considerate on this issue! Mtoto kwanza jamani, duh! Afanalek walahi...it's sad and totally sad! Mwangalie mwanao asubuhi ya leo anajitayarisha kwenda shule alafu waza mitusi ya mange!heroine
Mkuu acha tubaki na hero, hiyo heroine itawachanganya wengiHero -male
Heroin -female
Ni sahihi tu mkuu ila nipo nawe, Mange is the real heroin amongst women.
Pamoja nakujifanya mnaandika mada kibao humu ndani JF ... huto kuja wala huna uwezo wakuandi mada itakayo vuta na kusisimua, tena yenye data za ushahidi kama Mange,mtu mwenye akili timamu hawezi kumuita mange hero.. amtafutie jina lingine
Ni raia wa tanzaniaMbona kajificha kwenye uraia wa marekani mj!!!!! Tuu huyu mange