FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tz haiwezi ikawa na hero mtukanaji kama yuleApunguze lugha za Matusi nitamuelewa zaidi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz haiwezi ikawa na hero mtukanaji kama yuleApunguze lugha za Matusi nitamuelewa zaidi..
Hao walizo nazo kwann wasizitoe wao lkn wanampa mange atoe hizo habari? Afu inaonekana hata ww hujiamin. Km una habar toa watu wasomemange tyako tuuu yule hana lolote
unadhani kuwa watu hawana habari wanazo sana ndo wanao mpa uyo mange wako
tatizo ni sheria mbovu wee iseme tuu kama uwendi kunyia debe
Ni kweli, kuna watu wanaonekana makini kwakua, wanasimamia kwenye Hoja, sasa yule anapandisha munkari na kuanzia kutokana watu matusi Mazito na kashfa kama choo cha stendi.Tz haiwezi ikawa na hero mtukanaji kama yule
...
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
...
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa...
Hero -maleLeo nilkuwa sehem nakunya khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Hao walizo nazo kwann wasizitoe wao lkn wanampa mange atoe hizo habari? Afu inaonekana hata ww hujiamin. Km una habar toa watu wasome
exactly;jamaa bashite wa kingereza!heroine
wee jamaa ;mtu unayejielewa role model wako anakuwa mange?Leo nilkuwa sehem nakunya khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
[emoji106] [emoji106]Ivi ndugu unataka niende insta nikapost vitu kama anavyopost mange alaf niko tanzania hi hii iyo sheria ya mitandao katungiwa mbwa au mbuzi eeee
Tatizo ni sheria kandamizi boss unadhani tungekuwa huru hii leo pangetosh kwa yaliyo tokea ila kila mtu kafyata mkia sema ukanyie bede
Alafu mimi sio muwoga boss nasema chochote kile ambacho naona kiko sawa
hebu nikuulize imekuwaje tangu jana mange kafuta clip zote za makonda kafunga nahiyo account? kama ulijifanya kiherehere za kukoment mambo ya kijinga your gone myfriend! anza kabisa kuandaa watu wa kukudhamini.Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Heroin= Heroine. Heroin ni madawa ya kulevya.Hero -male
Heroin -female
Ni sahihi tu mkuu ila nipo nawe, Mange is the real heroin amongst women.