Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 872
Wasiomkubali Mange wote wananufaishwa na mfumo uliopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mange kafunga account?hebu nikuulize imekuwaje tangu jana mange kafuta clip zote za makonda kafunga nahiyo account? kama ulijifanya kiherehere za kukoment mambo ya kijinga your gone myfriend! anza kabisa kuandaa watu wa kukudhamini.
Wasiomkubali Mange wote wananufaishwa na mfumo uliopo
mange kafunga account?
Unataka ma hero mashoga kama akina bash...te.... au.???
Heroine au mwanamke shujaamtu mwenye akili timamu hawezi kumuita mange hero.. amtafutie jina lingine
walimchamba watangazaji. ila uongozi wao unamuogopa kama ukoma. hata hao watangazaji mmoja mmoja wanamuogopa sana. kama unajua una makandokando (unaishi nyumba ya vioo) usijaribu kupambana na huyo dada utaishia kujuta.Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
auHeroine au mwanamke shujaa
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
subiri akasirike uamke asbuhi ukute taarifa zako zipo hadharani ndo utamjua vizuriKiukweli cmjui huyu Mange. Anaishi wapi? Na anapata wapi taarifa za yanayoendelea Tanzania? Huko aliko ana amkaa muda mmoja Na sisi? Nauliza tu lakini
Kiukweli cmjui.. Ndo nauliza ni nani Na yupo wapi?subiri akasirike uamke asbuhi ukute taarifa zako zipo hadharani ndo utamjua vizuri
Kwa matusi?Huyo ni TISS ya kutetea demokrasia na utawala bora.
Ni nyau fulani aliyekata tamaa na anahisi muda si mrefu atapoteaKiukweli cmjui huyu Mange. Anaishi wapi? Na anapata wapi taarifa za yanayoendelea Tanzania? Huko aliko ana amkaa muda mmoja Na sisi? Nauliza tu lakini
kumbe ni tiss? Anafanya kazi ya nchi? Basi siulizi tena. Nashukuru kwa jibu kiongoziHuyo ni TISS ya kutetea demokrasia na utawala bora.
Anaishi wapi kiongozi?Ni nyau fulani aliyekata tamaa na anahisi muda si mrefu atapotea