Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.

770267396df5dc6a2e855babd967a128.jpg


Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.

Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.

Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.

Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.

Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.

Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.

Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Kwa taarifa yenu huyo ... *****ta uchwara mwenyewe anatambua kua ile ni namba nyingine ... na alifuta instagram page yake akatengeneza feki ID tunaihifadhi kwa sasa ... inafanyiwa uhakiki

By the way hiyo ID inamfollow ...
 
Kwenye UTANZANIAN HERO mtoe kabisa,tafuta nafasi ingine ya kumsifia kwa vile vizuri vichache anavyofanya na si kuweka vyote!

Maana akiamua kutukana utasema hana wazazi,akiamua kupamba utawaza na kufikiria siku ya harusi yake ilikuwaje!

Ni vyema ukawa na kiasi ktk kusifia! Japo ni kweli baadhi ya maswala anayaibua Mange yanaleta AMSHA AMSHA


Matusi Tanzania ni jadi.

Kuanzia Ikulu kwa mkulu
Mpaka Lumpeni wa mwisho
Wote midomo michafu.

Mkulu alienda KAgera kwa Watani zake akajisahau akidhani yuko kwenye kijiwe cha Lubisi.

Mara oo Mto ngono mara Katerero!
Tunajua ni watani wa mkulu lakini hayo yote ya nini?
wakimjibu kwa vikatuni anawatuma vijna wake wawafungulie kesi kama
"Picha na maneno ya kumuudhi Rais"


Mange Kimambi anaongea 75% ya msamiati wa lugha ya Taifa yaani Matusi
 
Mimi sikuzote huwa na mpuuza, namchukulia kama mdada fulan mwenye stress na karukwa na akili, ila kwenye hili la Mr daudi bashite nipo pamoja naye 100%
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Angalieni orodha ya followers wake instagram ndiyo ujuwe huyu mwana mama ana nguvu kiasi gani! Mtu mwenye followers 1000,000! huwezi kumdharau hata kidogo! She is very influential! Ni jasiri na kwa sasa ni kimbilio la wengi! Ana udhaifu wake ndiyo, lakini pamoja na udhaifu wake Tanzania ya leo inamhitaji sana Mange Mara milioni nyingi kuliko huyo Bashite na wengine wengu tu! Watu wakubwa wana maudhi sana na wote na wanajifanya wako juu ya sheria! Angalau Mange anawapa za USO japo tumwombe tu apunguze Yale ya nguoni!!!! kashfa (wao huziita siri za sirikali) aendelee kuzianika !!
 
Bavicha mna shida sana, ukirudi mwaka 2015 huyu binti mlimtukana kila tusi kwa kutomkubali lowassa leo mnataka awe shujaa wa taifa, wonders shall never cease!!
Mange kavaa rangi gani kwani? Mange keshasema kahama CCM? Mange mnayemtaja mnajua kuwa hilo ni jina la group siyo mtu? Mange atabaki kuwa CCM na ni CCM na anaongea maneno anayopewa na wana CCM. Hawezi kumkubali mteuliwa wa ukawa na hamkubali mpaka kesho. ID kwenye mitandao isiwapotoshe. Tafakari.
 
Mwambieni aje huku bongo awe anafyatukia huo upuuzi wake akiwa huku kama yeye kweli anamapenzi na nchi tutajua
 
Wanaume waoga walioshindwa kusema wenyewe ukweli wanaoujua na kumsakizia huyo demu
Huyu dem yupo safe zaidi anaishi Marekani kwa kujitolea kwake ku leak strange news about government na ukumbuke hapa kwetu tuna sheria za mitandao kwa hiyo watu wengi wanapitishia habari kwake
 
Mimi ni mmoja wa watu niliyekuwa namwona Bashite kuwa jasiri na nilimwona kama shujaa wa Taifa ambaye nilidhani ameweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi! Kumbe nilikosea sana! Mange kanifungua macho, kumbe Bashite ni mnyama! Ametulaghai na vita ya madawa kumbe kwa mwenzetu ulikuwa mradi binafsi wa kujipatia michuma ya nguvu!!! Katuwekea na ushahidi kabisa!!! Hapo hajatusaidia? Huyu mama ni shujaa hata wakubwa wetu wanajua hivyo!! They cannot ignore her! She is extremely powerful! Ukweli ni ukweli tu hata kama umewasilishwa kwa lugha isiyo ya staha! Ufisadi ni ufisadi tu hata kama umefunuliwa kwa lugha ya kuudhi! Anatukanwa ndiyo maana anatukana! Haheshimiwi ndiyo maana haheshimu pia!
Tumrekebishe kwa upendo na tumheshimu na tuheshimu mchango wake kwa wahusika kuchukua hatua kufanyia kazi anayoyafunua!
Mange anaipenda nchi yake! Mawazo yake yapo Tanzania! Wangapi wapo nje lakini hawana habari kabisa na kinachoendelea nchini?
Mungu amlinde na ampe maisha marefu haya mengine yanatengenezeka!
 
Kama kweli angekua hero, basi angeweka na za wote ambao amewaficha kama alivyodai anazo za clouds.
 
Back
Top Bottom