Jamani UDOM mambo si shwari wanataka kuchoma ofisi ya mkuu wa chuo

Jamani UDOM mambo si shwari wanataka kuchoma ofisi ya mkuu wa chuo

Jamani mimi kwa upande wangu huwa napenda sana migomo na maandamano na natamani sana hata kama ningekuwa naishi DDM lli niweze kushiriki kwenye maandamano, hongereni sana vjana wa UDOM kwa kuunda movement ambayo hata mwandishi mashuhuri Martine Luther King Jr aliisapo

HONGERENI SANA VIJANA WA UDOM KWA KUPATA NAULI KWANI MMEAMUA KUJA MJINI!!!!!!
 
Tatizo Lema akishafika Dodoma tu, udom wanaanza kugoma.
 
Jamani mimi kwa upande wangu huwa napenda sana migomo na maandamano na natamani sana hata kama ningekuwa naishi DDM lli niweze kushiriki kwenye maandamano, hongereni sana vjana wa UDOM kwa kuunda movement ambayo hata mwandishi mashuhuri Martine Luther King Jr aliisapo

HONGERENI SANA VIJANA WA UDOM KWA KUPATA NAULI KWANI MMEAMUA KUJA MJINI!!!!!!

unapaswa ukapimwe akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kukiri hadharani kuwa anashabikia migomo.
 
nimeongea na Mmoja wa Marais hapo udom hajui chochote.
Mtoa taarifa aseme vizuri cyo kudanganya umma
 
Chomeni 2 hao wakuu wa vyuo na bodi ya mikopo wote wizi na serikali yao ya CCM.
Mtoa thread mwongo,aeleze vzr,rais wa koleji fulani kasema hakuna hyo isue
Mtoa taarifa aseme labda ni wapi yametokea hyo
 
Si mgeni atakayekuja kuikomboa nchi yetu bali sisi wenyewe na wakati wa mabadiliko kwa vitendo ni sasa. solidarity forever
 
Dah huu uongo mwingine sasa hamna kitu kama icho shame on you hufai kuitwa great thinker na kujoin na jf
 
jamani habari nilizozipata toka kwa wanafunzi udom kuna hali tete

ofisi kama jengo haliongei wala kusikia, kuchoma sio ishu, hebu wekeni hoja mbele na muorodheshe madai yenu halafu muingie barabarani, hayo majengo ni kodi zetu tunayahitaji sana watoto wetu wayatumie.
 
Back
Top Bottom