Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mimi kwa upande wangu huwa napenda sana migomo na maandamano na natamani sana hata kama ningekuwa naishi DDM lli niweze kushiriki kwenye maandamano, hongereni sana vjana wa UDOM kwa kuunda movement ambayo hata mwandishi mashuhuri Martine Luther King Jr aliisapo
HONGERENI SANA VIJANA WA UDOM KWA KUPATA NAULI KWANI MMEAMUA KUJA MJINI!!!!!!
Waanze na Ofisi ya Mlacha, wakiweza wamcameruni kabisa!
wanafunzi wote wa vyuo vikuu andamaneni tutaona kama polisi watatosha. maana hawa magamba wanategemea sana polisi
Hi isue haina ukweli,jamani habari nilizozipata toka kwa wanafunzi udom kuna hali tete
Thanx udom,ndo ninachowapendea hcho.where z Sua nd Ardhi?
kwanini wasianze na ofc ya speaker?
Mtoa thread mwongo,aeleze vzr,rais wa koleji fulani kasema hakuna hyo isueChomeni 2 hao wakuu wa vyuo na bodi ya mikopo wote wizi na serikali yao ya CCM.
Mtoa taarifa anahtaji BAN kwa kudanganya ummaHizi habari hazna ukweli wowote.
Tatizo Lema akishafika Dodoma tu, udom wanaanza kugoma.
Mtoa taarifa anahtaji BAN kwa kudanganya umma
jamani habari nilizozipata toka kwa wanafunzi udom kuna hali tete
Sijui kama angekuwa baba yako ungeandika maneno kama haya.Waanze na Ofisi ya Mlacha, wakiweza wamcameruni kabisa!
Thibitisha basi,Mtoa taarifa anahtaji BAN kwa kudanganya umma