nimeingia mda si mrefu,nakutana na bonge la nyoka linapigana na paka wangu,yaani nimeshindwa ata kusogea karibu, vita ni kali joka limefula na paka amefula, naenda kuita vijana wa street wasaidie.
We ni 'me' au 'ke'...kama 'me' but ni suruali jiangalie vizuri.(kama ni 'me' ni aibu)unaenda kuita wanaume wenzio waje kukusaidia kuua nyoka ndani kwako?hujapita jandoni wewe!
We ni 'me' au 'ke'...kama 'me' but ni suruali jiangalie vizuri.(kama ni 'me' ni aibu)unaenda kuita wanaume wenzio waje kukusaidia kuua nyoka ndani kwako?hujapita jandoni wewe!
Unatakiwa urekodi mpambano
Wewe WA kwako ni paka au ni nyoka? Angalia fighter mwana tena laivu bila chenga
adisi nzuli!, andelea!.