Acha uongo wewe, mita sita au futi sita? Labda kama ni chatu. Na kama chatu basi huyo nyau lazima aingie kwenye kitabu cha Guiness akisindikizwa na mafuta ya taamafuta yamempata,anakatikakatika nyoka,wanazengwe wanamuongezea vipigo vitakatifu mifimbo,kwisha habari ya nyoka(rest in peace big snake)paka wangu yupo shwari
ana kama urefu wa 6m.
mafuta yamempata,anakatikakatika nyoka,wanazengwe wanamuongezea vipigo vitakatifu mifimbo,kwisha habari ya nyoka(rest in peace big snake)paka wangu yupo shwari
ana kama urefu wa 6m.
Angalia ITV sasa hivi wanaonyesha hao nyoka
mkuu hivi hata hivyo vipimo unavijua au unaandika tu kuonyesha we mwanaume kweli ila uliona jijoka la karne?sasa unaona wanaume walivyokusaidia akili?wamemwaga mafuta tu umekuja kujisifu kwisha kazi as if akili hiyo umefanya wewe.next time try kuwa mwanaume wa ukweli sio siku nyingine unasikia vibaka wameingia chumbani kwa mkeo wanamnanii we unakimbilia nje kwenda kuomba msaada kwa wanaume wenzio kama hawajaja kuunga tela kwa mkeo or wakusaidie kumwokoa lakini kwa sababu watakuwa wameona unono wa mkeo wanamtafuta kwa muda wao.hapo mkeo lazima awagawie kuwashukuru kwa kumwokoa teh teh aaaahhaaa
Acha uongo wewe, mita sita au futi sita? Labda kama ni chatu. Na kama chatu basi huyo nyau lazima aingie kwenye kitabu cha Guiness akisindikizwa na mafuta ya taa
Ish! Isijekuwa huyu jamaa katengeneza imagination kutokana na kipindi hicho.
Nyoka alipata laana ya Mungu baada ya kuwashawishi Adam na Eva kula tunda ktk bustani ya eden.siku zote atakua adui wa banadamu
Nyoka alipata laana ya Mungu baada ya kuwashawishi Adam na Eva kula tunda ktk bustani ya eden.siku zote atakua adui wa banadamu
tupo apa jf kurekebishana pia,urefu huo sikutumia kipimo chochote ila nimejaribu kukadiria(inawezekana nisiwe sahihi],lakini kiukweli joka ni refu sana.
Nani paka au nyoka?Na kwangu yupo pia.
mkuu moes, hii kitu inaweza kuwa kweli tatizo ni chumvi chumvi unazoongezea ongezea to make believe kuifanya hii kitu more sensational than reality!. Kwanza huyo nyoka umemuita cobra!, then kutaja urefu wa mita 6!. Hakuna cobra wa mita 6! labda chatu!. Chatu hafuri wala hainui kichwa juu!.kwa nini unasema ni adisi,? hii kitu ni laivu pasco
bra
mkuu moes, hii kitu inaweza kuwa kweli tatizo ni chumvi chumvi unazoongezea ongezea to make believe kuifanya hii kitu more sensational than reality!. Kwanza huyo nyoka umemuita cobra!, then kutaja urefu wa mita 6!. Hakuna cobra wa mita 6! labda chatu!. Chatu hafuri wala hainui kichwa juu!.
P.
nimeingia mda si mrefu,nakutana na bonge la nyoka linapigana na paka wangu,yaani nimeshindwa ata kusogea karibu, vita ni kali joka limefula na paka amefula, naenda kuita vijana wa street wasaidie.