jamani ugomvi wa joka na paka unaendela ndani ya nyumba yangu


Tunda - Fruit?
Au Tunda - Sex?
 
Ipo siku mtu ataingia chooni kukata gogo halafu ataanza kutuletea updates za kukata gogo
 
Umeshatajirika mkuu, record huo mpambano ukauze Discovery Channel au National Geographic Channel. Mimi utanipa 1% tu kwa kukupa maujanja.
 
Unapta taabu ya bure nunu mafuta ya taa lita kama 3 hivi halafu lenga na ulinyeshee mafuta hayo baada hapo kazi itakuwa imekwisha
 
joka limechoka ile mbaya,limepanic linauma adi viti,ata paka wangu naye amechoka

heading yako na hii coment hapa vimenichekesha sana mkuu.
Ile na wewe bana yaani umeshindwa hata kurecord hilo pambano kwenye simu na sisi tufaudu.
 
joka limechoka ile mbaya,limepanic linauma adi viti,ata paka wangu naye amechoka

Natamani joka lishinde ili ,ili joka liwe mtawala nawe uwe mpangaji

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
yote nakubali kwa ukubwa wa joka hilo,ni bora niitwe ---- tu,sijawai ona joka kubwa kiasi hicho,alafu limepandwa na hasira kweli, limeinua kichwa juu ,ni kobra.

nimefika na wanazengwe nao wameogopa wanashauri tutafute mafuta ya taa tumwage,
Huyo atakuwa ni chatu tena chatu mchanga(6meter umesema) kwani angekuwa King cobra(swila) wa size hiyo-wewe paka wako na baadhi ya jirani zako mngekuwa mahututi au marehemu -kumbuka kobra anauweza wa kudunga zaidi ya mara moja na sumu yake inasimamisha mapigo ya moyo ya wanyama wakubwa akiwemo binadamu within 20mins!
KICHATU HICHO TENA MUMEKIONEA !ILIKUWA MUKIKAMATE SHINGONI NA MWINGINE AKISHIKE KATIKATI NA MTU WATATU AU PAKA WAKO AKISHIKE MKIA MKAKITUPE PORINI AU MUNILETEE NIKIFUGE! RIP kichatu umekutana na binadamu wasiokuelewa!
 
Unapta taabu ya bure nunu mafuta ya taa lita kama 3 hivi halafu lenga na ulinyeshee mafuta hayo baada hapo kazi itakuwa imekwisha

Ukiskia kunyanyasa wanyama ndio huku!
Haaaa! Hata huruma huna!?
 
yote nakubali kwa ukubwa wa joka hilo,ni bora niitwe ---- tu,sijawai ona joka kubwa kiasi hicho,alafu limepandwa na hasira kweli, limeinua kichwa juu ,ni kobra.

nimefika na wanazengwe nao wameogopa wanashauri tutafute mafuta ya taa tumwage,
Unaishi wapi weye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…