Jamani umeshawai kuchapia wewe?

Jamani umeshawai kuchapia wewe?

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2011
Posts
2,414
Reaction score
1,215
Jaman kiswahili kina kuchapia kwake mfano mm niliwahi kusema mrisho ngisa@mrisho ngasa,usipo ziba ukuta utajenga ufa@usipo ziba ufa utajenga ukuta na mengne mengi.Najua kila mtu anakosea je unakumbuka ulisemaje?
 
Kila mtu huchapia, mtangazaji wa Radio ya watu, Efraimu Kibonde anachapia karibu kila siku...
 
Back
Top Bottom