tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,215
Jaman kiswahili kina kuchapia kwake mfano mm niliwahi kusema mrisho ngisa@mrisho ngasa,usipo ziba ukuta utajenga ufa@usipo ziba ufa utajenga ukuta na mengne mengi.Najua kila mtu anakosea je unakumbuka ulisemaje?