Tena changudoa ambae hata mkataba wake wa kustaafu haujafika,Umeparamia changudoa
Maana kuna machungudoa wengi tu walistaafu na kuolewa walipoona muda umefika, na wanalea familia zao vizuri tu kwa sasa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena changudoa ambae hata mkataba wake wa kustaafu haujafika,Umeparamia changudoa
Nashukuru nimempiga chini!hero nitafute Wa kuoaUnaliwa wewe!bado unazubaa zubaa?!jiongeze mtoto wakiume!wanawake kwani wameisha?kama unataka kujiua mwenyewe mchunguze!
Kitandani unaridhika naye( mahabat)?Nisaidieni jamani huyu ni mwaminivu au natapeliwa kimapenzi?yaani mpenzi wangu nikiwa Naye kupeana jamboz tukimaliza tu pesa ukimpa 20000 analalamika bila kushukuru na anakwambia kesho unipe tena ukimpa anahitaji pesa!wakati huo anataka simu ya tach,kodi ya nyumba kulipa biil ya umeme!ukisema huna pesa anakasirika!jamani hii ni mapenzi au ndyo kuchunwa?nifanyaje nimwache wakati nampenda?na ukimkuta na mwanamme anasema alikuwa kaka ke !jamani nisaidieni