Jamani uvumilivu nimeshindwa

Jamani uvumilivu nimeshindwa

Akili hizi sio zako

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nisaidieni jamani huyu ni mwaminivu au natapeliwa kimapenzi?yaani mpenzi wangu nikiwa Naye kupeana jamboz tukimaliza tu pesa ukimpa 20000 analalamika bila kushukuru na anakwambia kesho unipe tena ukimpa anahitaji pesa!wakati huo anataka simu ya tach,kodi ya nyumba kulipa biil ya umeme!ukisema huna pesa anakasirika!jamani hii ni mapenzi au ndyo kuchunwa?nifanyaje nimwache wakati nampenda?na ukimkuta na mwanamme anasema alikuwa kaka ke !jamani nisaidieni
Kitandani unaridhika naye( mahabat)?
 
Mimi siamini wengine huwa mnatuongopea hapa kama ni kweli hebu weka namba ya huyo mpenzi wako tuthibitishe
 
Back
Top Bottom