Jamani Vipi Hali ya Vengu?

Jamani Vipi Hali ya Vengu?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Kumekuwa na ukimya juu ya hali ya huyu kijana wetu, je kuna mwenye kujua maendeleo ya afya yake?
 
Yupo humu jukwaani hivyo ngoja tumuite ili aje kukujibu, vengu ebu njoo uwajibu huku.
 
Last edited by a moderator:
Mi mambo mengi hadi nishamsahau!!!!!
 
Kweli kabisa ngoja nami nisubiri majibu mana hata nilishamsahau
 
Ngoja niangalie kwenye Database yangu kama yumo..
 
warumi database inasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Kuna source iliniambia huyu jamaa alishapona ila katika enzi zake za ulabu kuna siku alipiga pombe mpaka kazima mazima,akachewa na wanaume,kuanzia hapo anajifeel aibu sana hata hawezi kuigiza tena kwa ajili ya kujishtukia.
 
Hmm kazi ipo!!!!!!!!
 
Mmh binamu mbona kama sijakuelewa? Maana ugonjwa wake aiseeh hat wagonjwa wa ukimwi hawaumwi hvyo
 
Ishu ya msingi hapa nikujua kwamba amepona au anaumwa bado?ila tetesi za chini chini ndo kama hivo jamaa anahitaji cancelling kwanza
 
Sasa na yeye alizid had wamwingilie kinyume duh, ila kuna kitu behind the scene sio bure..maskini, nilisikia kwao hayupo, maana waandish wa shigongo walimfuat , wanamficha sana , si arud tu kazin kwan kitu gani, kwan ye wa kwanza kuliwa ndogo
 
He is fine and kicking........ni kwamba amesema........hataki umbea.......😝
 
Kuna source iliniambia huyu jamaa alishapona ila katika enzi zake za ulabu kuna siku alipiga pombe mpaka kazima mazima,akachewa na wanaume,kuanzia hapo anajifeel aibu sana hata hawezi kuigiza tena kwa ajili ya kujishtukia.

Watz ni wanomq maskini mkaka wa watu anatatizo fromvno where to anazimia looo ndo wabongo wakapatq kisingizio kuwa mlevi mbwa kumve mwenzao anaumwa na inawezekana kweli walimwingilia wamepatq dhambi za bure mwenzao alikuwa mgonjwa na walavsi pombe inayomfanya azime
 
Kuna source iliniambia huyu jamaa alishapona ila katika enzi zake za ulabu kuna siku alipiga pombe mpaka kazima mazima,akachewa na wanaume,kuanzia hapo anajifeel aibu sana hata hawezi kuigiza tena kwa ajili ya kujishtukia.

mmh yaha niyasomayo mbona yananitisha naogopa.
 
Back
Top Bottom