Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishasema kua anayetaka kujua kama afya yake ina mgogoro amuulize mke wake:smile-big:!
Bwana Mrema ana ugua ugonjwa unaoitwa UKOWAFE ( Ukosefu wa Fedha). na pia Kisukari pamoja na ugonjwa wa ngozi. Yote haya yanatibika. Tiba ya Kwanza ni kuwa na chanzo cha uhakika cha Fedha. Hilo limepata ufumbuzi kwa kuingia mjengoni. Lakini kuna tetesi kuwa Mkulu anamteua kuwa Waziri ulaji tena. Hilo la Kisukari na Ngozi atakunywa Aloe vera gel na Food supplements Kibao; Nakwambia baada ya Miezi sita utashanga kuona MREMA au Mzee wa Kiraracha anakuwa kijana. Hizo suti zitamkaa. We acha tu. Mzee wa watu ameteseka sana ndio maana ameamua kurejea CCM kupitia mlango wa jikoni. Je kuna aliyemsikia akimpigia Kampeni Mgombea yeyote wa TLP? Hapana. Sasa hapa ujue kuna jambo. Siasa ni Mtu kula.
Ni utu uzima tu umemwingia vibaya.
binafsi naamini mzee huyu hawezi kumaliza mwaka ujao. Kwa ufupi, anaumwa ugonjwa zaidi ya mmoja. Kwa nje ata kama mimi ni mwl, nadhani anaugua cansa ya ngozi.
Binafsi naamini Mzee huyu hawezi kumaliza mwaka ujao. Kwa ufupi, anaumwa ugonjwa zaidi ya mmoja. kwa nje ata kama mimi ni Mwl, nadhani anaugua cansa ya Ngozi.
Jamani huyu mzee anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari
Sina nia ya kuchimba mtu kwa saana, lakini picha za hivi karibuni za huyi Muhishimiwa Mrema naona kama mzee kazoofu hivi ama macho yangu tu?