Jamani wakuu niombeeni nifanikishe

Jamani wakuu niombeeni nifanikishe

vaa condom tayari tayari akija unadandia tu kwa hasira
 
Nipo hotelini nishalipia kila kitu namsubir Shemeji yenu ndio Mara ya kwanza ila naona muda unaenda na yeye atokei .. sijapgwa changa la macho kweli
MBONA easy Sana si umpigie simu umuulize kafika wapi
 
Nipo hotelini nishalipia kila kitu namsubir Shemeji yenu ndio Mara ya kwanza ila naona muda unaenda na yeye atokei .. sijapgwa changa la macho kweli
Umenikumbusha ile story ya jamaa aliyesahau pete ya ndoa Mamnana gesti! Badala ya kufanya juhudi nyingine yeye akaja kupost Jf
Mwingine ni yule aling'twa na nge sehemu za siri, akashindwa kufanya mpango wa kwenda hospital haraka ila akakimbilia JF kutupia...[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115]
 
Nunua gongo Kali kunywa arafu lala atawahi kuuja
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Hawa vijana wamekua tatizo sana humu Jf..........
Inabidi kuwaumbua tu, maana hakuna namna[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom