Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi ningekuambia nitumie nikalipie mwenyewe halagu siendiAu ndio ww miss chagga unanizuga umu ...nihurumie hela zinaenda bure
Mkuu mbona umetoka nje ya mada .Kwa mahitaji yako ya Bima zote
Ukiwa muongo, usiwe msahaulifu
MBONA easy Sana si umpigie simu umuulize kafika wapiNipo hotelini nishalipia kila kitu namsubir Shemeji yenu ndio Mara ya kwanza ila naona muda unaenda na yeye atokei .. sijapgwa changa la macho kweli
Ajira zmetangazwa lini mkuu
Subiri upate Ukimwi wa kiafrika achana na kondom za kizungu[emoji23] [emoji23]Kinga za nini mkuu ... hayo madude ya wazungu yananichelewesha
Umenikumbusha ile story ya jamaa aliyesahau pete ya ndoa Mamnana gesti! Badala ya kufanya juhudi nyingine yeye akaja kupost JfNipo hotelini nishalipia kila kitu namsubir Shemeji yenu ndio Mara ya kwanza ila naona muda unaenda na yeye atokei .. sijapgwa changa la macho kweli
Jipe moyo ukianza kukohoa usinunie watuKupata ukimw ni kaz sana sio kama ufikiliavyo .
Kwa mahitaji yako ya Bima zote
Ukiwa muongo, usiwe msahaulifu
Hawa vijana wamekua tatizo sana humu Jf..........[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Waongo kama hawa, dawa yao ni ban tu.... [emoji16] [emoji16] [emoji16]Safi Sana [HASHTAG]#Ushimen[/HASHTAG] .
Yaani watu Kama Ndo wanaharibu Hata ladha ya Jukwaa