Jamani wana jamii mchango mnisapoti natarajia kufunga ndoa

Wewe una tsh ngapi!?
Na unataka kufunga ndoa kwa gharama gani!?
Halafu sema harusi ndoa haina gharama

DJ sepetu
Nadhani anataka mchango wa HALI na si mchango wa MALI, usimlishe maneno ahaaaaa...toa mchango wa mawazo mkuu
 
Kwa zamu hii za kuisoma namba usipoteze muda wako kufanya harusi, jipange zako kuoa kimya kimya kwa kwenda kanisani au msikitini au bomani na kufunga ndoa bila mbwembwe. Kwa hakika hautajuta kabisa.

Maisha yameshakuwa magumu sana, watu hawana pesa hata ya kula, mbwembwe hazina nafasi tena.
Kweli kabisa.
 
Mchango wangu huo
20902352_1509810679079847_3544721313518059520_n.jpg
 
Kwa zamu hii za kuisoma namba usipoteze muda wako kufanya harusi, jipange zako kuoa kimya kimya kwa kwenda kanisani au msikitini au bomani na kufunga ndoa bila mbwembwe. Kwa hakika hautajuta kabisa.

Maisha yameshakuwa magumu sana, watu hawana pesa hata ya kula, mbwembwe hazina nafasi tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom